Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani
Mchumba amekuja hapa bongo kwa ajili yangu tu na huyu mchumba wangu ni mtoto wa kishua kabisa na Ameniambia baba yake ni mmoja wa...