Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja,
Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha,
Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi,
Ishi na mtu kama ulivyokutana nae,
Tutiane tu ila kuhongana hapana kila itu abaki na chake .
Mapenzi ni mazito usijitwike kichwani utatofoa ubongo...