mapenzi

  1. Magical power

    Mapenzi yananipeleka kasi sana

    Mapenzi yananipeleka kasi sana ngoja nijipumzishe kidogo
  2. Rayvanny wa jamiiForums

    Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Jr. Farhan wa Clouds Tv huna uelewa wowote katika mahusiano ya mapenzi; huwezi kumhudumia Mwanamke uliyezaa naye baada ya kuachana naye ukabaki salama

    JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
  4. King Jody

    Hivi Mapenzi ni kitu gani?

    Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi, Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi, Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...
  5. Raia mpya

    Mapenzi bila pesa magumu

    Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo...
  6. M

    Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
  7. Daydream

    Aina za wanawake ambao lazima utumie condom pindi unapofanya nao mapenzi

    Wafuatao ni aina ya wanawake ambao ni lazima uvae condom pindi unapofanya nao mapenzi. 1. Ikiwa ana Tattoo vaa hata Condom tatu kwa pamoja utakuja kunishukuru 2. Kama anakunywa bia hakikisha unavaa Condom 3. Kama anafanya kazi kwenye saluni za kiume/zakike ndugu yangu vaa Condom 4. Kama ni...
  8. Edsger wybe Dijkstra

    Je, anayejihusha kimapenzi na mwanafunzi adhabu yake ni sawa na aliyempa mimba mwanafunzi?

    Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje? Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
  9. nentewene

    Tungo: Mapenzi ni Pesa

    Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa, Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya, Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa. Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana, Tena acha kujichosha, kutafuta vimwana, Tafuta iyo pesa, uepuke kutukanwa, Ukishafanikisha, utakula walo nona...
  10. Mhaya

    Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  11. Tlaatlaah

    Jihadhari na mapenzi siku za sikukuu

    Huwezi amini, muda huu jamaa na pisi kali yake ndio wanamalizia kuambukizana ukimwi, gono, kaswende UTI sugu kwa styles kama zote na wengine wanajipanga kufanya hivyo leo jioni na usiku wa mwaka mpya 2024 ili waanze mwaka mpya na maradhi dah! Kuwa makini na afya yako au tumia kondomu.
  12. Chizi Maarifa

    Nimegundua hii njia ni salama na ya raha sana kwa mapenzi naenjoy sana

    kwa sasa kiukweli sitaki kabisa papuchi.... unanipenda nakupenda tunaenda sehemu nakupa MIC cheza nayo..... sitaki kabisa kujihusisha na papuchi magonjwa mengi sana na huko chini hakuna raha kama mtu kunyonya Hot Cream. yaanii huwa sina maneno maneno.... na hii ni rahisi tu naenda sehemu...
  13. TheChoji

    Hivi ni kwanini wanawake hamjiui kwasababu ya mapenzi?

    Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya mara 15 kitandani kwake akiwa na wanaume tofautitofauti including ndugu, jamaa na marafiki zake...
  14. Nyafwili

    Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  15. olimpio

    Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  16. R

    Nimepigwa na mke wangu

    Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
  17. M

    Wivu wa mapenzi wazidi kuteketeza maisha ya Watanzania. Amuua mke wake kisa wivu

    Watu wawili akiwemo mke na mume wamekutwa wamefariki katika maeneo tofauti tofauti baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe na kumtupa eneo la Mafisa kwa Mambi na yeye kukutwa amejiua katika eneo la Bigwa Manispaa ya Morogoro. Akizungumzia tukio hilo lililotokea usiku wa kuamki leo, kamanda wa...
  18. Mr Lukwaro

    Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

    Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu. Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale yanapopungua, au kuchokana?
  19. Hance Mtanashati

    Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  20. DR Mambo Jambo

    Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Back
Top Bottom