Wadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha kunifanya nianze kuamini tena mapenzi ya kweli.
Awali, sikumzingatia sana, lakini kadri muda...