Rafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari.
Nikabaki nimeshtuka...
Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine.
Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja.
Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako.
Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe au Baba yake alimuwekea hisa.
Kwa hapa Tanzania, tembelea Jamii za kanda ya kaskazini huko kwa...
Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO.
Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50
Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane
Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa...
Jirani: Money penny njoo
Money penny: Mekuja jirani nambie
Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa
Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi
Money penny: Du...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi.
Akizungumza na wanahabari...
Kwani hakuna namna ya kuenjoy silently ndrugu zangu?
Mayowe ya nini sasa kama tumevamiwa na majambazi au kuna ugomvi?
Hembu gugumia utamu kistaarabu tu my friends, ladies and gentlemen.
Huo sio ungwana kabisa yaani, mnatisha watu na kukosesha wengine amani hata kama sio drama
Punguza mayowe...
Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi.
Tuliendelea mpk tukamaliza, lakini baadae ndo ukawa mchezo wetu tunaenda nje kuajiri na se*y.
Daaa nikikumbuka...
Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Hello!
Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam.
Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi.
Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.