mapepo

  1. The Watchman

    Wanawake wawili wakimbilia polisi baada ya kutolewa mapepo kwa kuchapwa viboko

    Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko, tukio hilo limetokea kwenye Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet...
  2. ngara23

    Mchungaji auliwa na muumini aliyepandwa na mapepo

    Mchungaji wa Kanisa la Agule Pentecostal Assemblies of God (PAG), Wilaya ya Serere, Uganda, John Michael Ekamu (52) amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na muumini anayedaiwa kuwa na mapepo wakati wa lbada ya mkesha wa Krismasi Wakati wa maombi ya mkesha huo, muumini huyo, anayejulikana kwa...
  3. OMOYOGWANE

    Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  4. M

    Kwanini Yesu aliyaelekeza mapepo kwenda kwa Nguruwe na si mnyama mwengine?

    Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.
  5. Bob Manson

    Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

    Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend. Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri...
  6. matunduizi

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

    Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:28-). Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa mapepo/majini kuwa yanaogopa nguruwe na products zake? Nikakumbuka ni bwana mdogo Ibirisi maana uongo...
  7. matunduizi

    Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

    Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi. Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza. Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
  8. Pdidy

    Unawasha redio tusikilize mahubiri dk 30 unaanza kukoromaa unaweweseka n mapepo yanatoka ama..c2 mjetusaidia

    Napensa sana mahubiri sema tukiwa tuko OK Hii kuwasha redio wote tunakoroma dk 30 unaanza kuweweseka kama jini mahaba amekupi1tia Mnatutisha wapendwa..... Embu tuwe serious n1a Mungu
  9. R

    Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Salaam, shalom!! Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau. Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!! Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho? Karibuni🙏
  10. Pdidy

    Mambo mengine hamfanikiwi kutokana na dhambi, sio uchawi wala mapepo

    Gudmng Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian “Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii sauti ya Mungu na kutokufuata maagizo yake. Kuna wakati wala wachawi hawahusiki wala mapepo ila ni...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

    Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
  12. Mjanja M1

    Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

    Wachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali. ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
  13. R

    Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

    PART 1. Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Hesabu 23: 19) Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute. Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Isaya 34:16) Tafuteni katika kitabu Cha BWANA,Mkasome, HAPANA katika hao wote atakayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa...
  14. R

    Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

    INTRODUCTON. Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo. Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza. MAPEPO. Hizi ni ROHO...
  15. matunduizi

    Je makanisa ya upako ni viwanda vya mapepo?

    kuna watu kama watatu baada ya kumbilia kwenye makanisa ya upako ya uamsho wa kisasa waliingia wazima ila baadae wanasumbuliwa na mapepo. Siku ya jumapili imegeuka kama siku ya leheso ya kutoa mapepo hayo kisha jumapili ijayo zoezi linajirudia tena. Wafanyamazingaombwe na waganga wengi...
  16. matunduizi

    Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  17. peno hasegawa

    Video: Makonda akitoa watu mapepo

    Msitoe lugha chafu tafadhali.
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Haya ndiyo Mapepo yanayomzuia Yesu asirudi kwa mara ya pili

    INCUBUS NA SUCCUBUS: MAPEPO YENYE LENGO LA KUMZUIA YESU ASIRUDI KWA MARA YA PILI DUNIANI Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anaishi Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anaishi Rwanda na mwingine...
  19. JITU LA MIRABA MINNE

    Kwanini wanawake na masikini ndiyo wanaoanguka mapepo makanisani na siyo matajiri na wanaume?

    Haya maswali sijawah pata jibu, hebu nisaidiane wananzengo!
  20. Midimay

    Mapepo Mabaya dhidi ya Wamaasai ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii Yakamewe

    Kuna hila mbaya sana zinaendelea dhidi ya Wafugaji wa Kimaasai yanayofanyika ndani ya Wizara ya MaliAsili na Utalii. Hila hizo zinafanyika kupitia taasisi za serikali iliyo chini ya wizara hiyo. Taasisi hiyo ni Wakala wa Misitu(TFS), Idara ya Wanayama pori na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro...
Back
Top Bottom