Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo...
HII Ni kwa waamini tu.
Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika.
Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but...
Ndugu wapendwa,
Naomba ombi hili kwa ajiliya wanandoa Kama una mwenza unamwona ana mapepo yanamtesa
Wapo wanateseka na majini mahaba.
Wapo wanandoa wanateseka na roho za wizi. Ndani kwa NDAN
Wapo wanateseka na rohiza uzinzuli kutokana. Na kutubuu imefika Mmoja kaamua twende hivyohvyo...
Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa.
Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo wakiwa wamelala. Kijana anaona msichana mzuri, amevua nguo na kisha analala naye akiamka anachukulia...
Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
Hawa jamaa chenga kabisa!
Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana.
Kazi ya udalali ina mapepo.
Wapo wadogo na wale wakubwa.
Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani.
Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye kazi kwa...
Nimeshawahi toa mada kama hii siku za nyuma.Kuna jirani yangu mtoto wake binti wa kidato cha pili anapatwa na mapepo kipindi flani flani.Kuna binti ya rafiki yangu naye miaka ya nyuma kama mitano akiwa kidato cha pili alipatwa na hali kama hiii.
Kuna mwingine tena hivyo hiyvo lakini sasa...
Jamani sijawahi kuona Mzungu au Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanaoanguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Waamini habarini,
Basi kama wewe huamini nguvu zilizopo ulimwenguni basi usipoteze muda na huu uzi maana utaazisha mada mpya tusizotaka.
Najiulizaga kwa kusikia na kuona kwa watu wakikinzana na huyu mnyama kwenye masuala ya mapepo.
Ifahamike nguruwe ni mnyama wa kufugwa ila binafsi nimekuwa...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul kuondoka CCM na kuhamia upinzani ni sawa na kushikwa na mapepo lakini sasa roho mtakatifu amewashukia...
Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3.
Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha.
Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
Uko zako ndani ya Basi la Mikoani na kwa bahati nzuri unaweza kukuta ama umebahatika Kukaa na Mrembo Kiti Kimoja na unaanza zako Kumuingizia Voko zako au labda Kondakta wa Basi husika ameweka Sinema Moja Kali na Matata yenye iliyo na Mvuto halafu unakuta katikati ya Safari kuna ama Abiria...
Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu wa kupandisha mashetani sijui hii imekaaje kila demu ninaye date nae lazima atakuwa na hii shida...
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
Wakuu,
Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?
KAMA SIYO,je haya...
Salaam wakuu poleni na harakati,
Ni mda kiasi sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi za hapa na pale ila namshukuru Mungu nimerudi salama huko nilikokuwa, kwanza niwape poleni kwa misukosuko ya hapa na pale pamoja na Paschal Mayalla member mwenzetu sijui anaendeleaje mpaka sasa maana mara ya...
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.
Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.
Hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.