Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema.
Je naye TL mikito yake si mnaijua?
Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana.
Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora.
Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa...
The Bible says, wakati Mungu anataka kuwatoa Wana wa israel Misri,Kwanza aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu..means sio Kwa mapenzi yake farao alifanya ili kuwachelewesha Wana wa Israeli, Bali Mungu mwenyewe aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili utukifu na historia visemwe kama ilivyo Leo ya...
Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha tulikuwa tunaamini Namanga ndo mji mkubwa zaidi wa mpakani kwa Tanzania kumbe kuna Tunduma...
Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo...
Kuna sehemu nimeona Putin amelazimika kuita kikao cha ghafla maana haimuingii akilini namna wanajeshi wake wanaachia maeneo na kuikimbia moto wa Ukraine.....yaani haelewi ukifanya mchanganyiko wa storm shadow, cluster bombs na HIMARS haviwaachi wanajeshi salama.....
US officials told CBS News...
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo.
Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara.
Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
Mapigano katika mji wa Mashariki mwa Ukraine wa Bakhmut ambayo ni ngome muhimu, yanaongezeka na Rais Volodymyr Zelensky anasema hali huko inazidi kuwa mbaya.
Rais huyo anasema wanajeshi wa Urusi wanaharibu chochote ambacho Waukraine wanaweza kutumia kama ngao. Anasema wameendelea bila huruma...
Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa Serikali imekuwa ikiruhusu usafirishaji wa wanyama kwenda nje ya nchi tangu mwaka 1985, imeiibua Wizara ya Maliasili na Utalii ikisema hairuhusiwi mtu yeyote kusafirisha wanyama.
Akizungumza kwa simu na Mwananchi, Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako.....
Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja.
Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."
"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."
"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi.
Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa...
Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake
Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine wikendi hii.
Jenerali wa jeshi la nchi kavu Sergei Surovikin aliteuliwa siku ya Jumamosi kuwa...
Anasema mto umefurika miili ya wanajeshi wa Urusi, alikua anaongea na mkewe kwa simu, anatukana balaa na kulaani...
"F***ing HIMARS s**t. They are long-range and our tank was hit too....," the soldier allegedly said, referring to the U.S.-supplied M142 High Mobility Artillery Rocket...
Pale Crimea hapakaliki, milipuko ya ghafla hadi imekua kero, ndege za kivita zinalipuliwa zikiwa uwanjani, Urusi imeona isiwe tabu, yaanza kuzirejesha nyumbani.....
Sikujua supapawa anaweza kuteswa kihivi na kainchi kadogo, vita kweli sio ukubwa wa nchi au wingi wa silaha....
Russia is...
Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo.
1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza...
Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amewaambia waliofukuzwa kuwa waache mambo ya kihuni.
Awali Mdee alinukuliwa akisema...
Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo.
Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika.
Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo lakini hawa wapya wanaoibukia kishamba hakuna nafasi tena kwao. Dunia inapambana na hawa wachache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.