Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari,
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri...
Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la kwanza la janga la kimataifa la Corona. :)
Nakumbuka mwendazake akitubeza na kutuponda. Kwamba sie...