mapinduzi cup

The Mapinduzi Cup is a top knockout football tournament in Zanzibar. Mapinduzi meaning Revolution in recognition of the Zanzibar Revolution. The Mapinduzi Cup is a tournament created by the Zanzibar Football Federation to commemorate Zanzibar's Revolution day which is marked annually on 12 January. The first edition of the cup was in 1998. However, the cup is played between Zanzibari clubs together with clubs from Tanzania mainland. Since 2013 clubs from Kenya and Uganda have been invited to take part occasionally.
Along with the Zanzibari Cup and Nyerere Cup, the three tournaments are the three main knockout tournaments in Zanzibar. The maiden edition was won by Jamhuri F.C.

View More On Wikipedia.org
  1. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
  2. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
  3. sky soldier

    Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  4. R

    Simba achaneni na mapinduzi cup tengenezeni timu

    Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe. Wakati huu...
  5. Scars

    Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

    Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi kutoka kikosi cha vijana. Personal view Singida licha ya kwamba ana kikosi kikubwa au kile cha kwanza...
  6. NetMaster

    𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘: Mapinduzi cup: Yanga 1-0 KMKM SC

    Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao. Sio timu tu kutoka Zanzibar, Ni KMKM, mabingwa wa ligi ya Zanzibar tuliowashinda tena kwa kikosi cha pili, hii ndio maana...
  7. K

    Mapinduzi Cup ipewe hadhi

    Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup. Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha. Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe...
  8. Scars

    Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

    Mechi ni saa 20:15 Muda huu ishaanza Ghazwat Greatest Of All Time Imekuwaje mpaka muda huu hamjaweka uzi wa updates?
  9. GENTAMYCINE

    Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  10. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

    Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC) Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC) Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC) Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

    Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa. Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
  12. Mario Kempes

    Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

    Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
  13. ESPRESSO COFFEE

    FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

    Saa 2:15 usiku Simba SC, kukipiga na Namungo FC. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya fainali? Kuungana na Azam Fc? Ni kufa au Kupona mmoja Lazima aende kupambana na Azam FC. Je, tutashuhudia Mikwaju ya Penalt Tena? Tuwe pamoja
  14. XII Tz

    Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

    Naam! ni mnyama simba akipepetana na mlandege kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi Zanzibar. Vikosi vyote viko sawa bin sawia, tayari wakisubiria muda tu ufike tupate kufahamu je ni mnyama simba kutoka bara au ni mlandege kutokea visiwani Zanzibar. Kwa live updates za...
Back
Top Bottom