The Mapinduzi Cup is a top knockout football tournament in Zanzibar. Mapinduzi meaning Revolution in recognition of the Zanzibar Revolution. The Mapinduzi Cup is a tournament created by the Zanzibar Football Federation to commemorate Zanzibar's Revolution day which is marked annually on 12 January. The first edition of the cup was in 1998. However, the cup is played between Zanzibari clubs together with clubs from Tanzania mainland. Since 2013 clubs from Kenya and Uganda have been invited to take part occasionally.
Along with the Zanzibari Cup and Nyerere Cup, the three tournaments are the three main knockout tournaments in Zanzibar. The maiden edition was won by Jamhuri F.C.
Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku.
mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC
Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka
Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji.
Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe.
Wakati huu...
Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie
Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi kutoka kikosi cha vijana.
Personal view
Singida licha ya kwamba ana kikosi kikubwa au kile cha kwanza...
Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao.
Sio timu tu kutoka Zanzibar, Ni KMKM, mabingwa wa ligi ya Zanzibar tuliowashinda tena kwa kikosi cha pili, hii ndio maana...
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe...
Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu.
Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi.
Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC)
Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC)
Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC)
Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa.
Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC
Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
Saa 2:15 usiku Simba SC, kukipiga na Namungo FC. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya fainali? Kuungana na Azam Fc?
Ni kufa au Kupona mmoja Lazima aende kupambana na Azam FC.
Je, tutashuhudia Mikwaju ya Penalt Tena?
Tuwe pamoja
Naam! ni mnyama simba akipepetana na mlandege kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi Zanzibar.
Vikosi vyote viko sawa bin sawia, tayari wakisubiria muda tu ufike tupate kufahamu je ni mnyama simba kutoka bara au ni mlandege kutokea visiwani Zanzibar.
Kwa live updates za...