Kiongozi mpya wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa taifa hilo siku ya Ijumaa, Oktoba 17, 2025, licha ya upinzani kutoka kwa Umoja wa Afrika (AU), uliosimamisha uanachama wa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomng’oa madarakani Rais...
Leo Oktoba 15, 2025 Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, amesema kwamba “anachukua nafasi ya urais” baada ya kumng’oa madarakani Rais Andry Rajoelina
Akizungumza na Shirika la Habari la Associated Press akiwa kambini kwake, Kanali Randrianirina...