mapinduzi ya kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinachotokea Congo ni mapinduzi ya Kijeshi, hakuna cha kuzuia hili kutokea

    Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi. Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine...
  2. X

    Elon Musk anaunga mkono sana mapinduzi ya kijeshi yatokee Venezuela. Kuna siri gani nyuma ya hili?

    Jana matokeo ya uchaguzi yalipotoka ilitangazwa kuwa Nicolás Maduro ameshinda tena kiti cha uraisi nchini Venezuela. Akimshinda mpinzani wake Edmundo González ambaye anaungwa mkono na Marekani. Viongozi wa mataifa ya Magharibi wameonyesha kutofurahishwa na matokeo hayo. Huku vyombo vya habari...
  3. I

    Nchi 10 za kiafrika zinazoongoza kwa wananchi wake kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi.

    Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha. Kulingana na ripoti hiyo, iliyopewa jina la "African insights 2024 Demokrasia hatarini" - mtazamo wa watu, kuna tofauti...
  4. Mbinu za kuzuia Mapinduzi ya kijeshi

    Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi. Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini...
  5. 'Vitoto' vya wanasiasa vinaingizwa ktk siasa, eti wengine waende kujifunza kilimo Israel!

    Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo...
  6. Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

    Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma? Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium. Au ni sisi tu bongo...
  7. Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
  8. Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  9. Gabon: Jeshi lamtangaza Jen. Nguema kuwa Rais wa Mpito, alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais

    Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais. Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa kwanza wa Ali Bongo anaeitwa Valentin ili aje kuwa Rais. Naona Brice kaamua, no way kwanini aandae...
  10. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  11. Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
  12. I

    Bara la Afrika linaongoza kwa mapinduzi ya kijeshi duniani

    Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali. Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
  13. S

    Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  14. L

    Nani yuko nyuma ya wimbi la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika?

    Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
  15. Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  16. L

    Utulivu wa kijamii na maendeleo ya uchumi ndio suluhu ya kudumu dhidi ya mapinduzi ya kijeshi Afrika

    Katika mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu mjini Addis Ababa, Ethiopia, suala la utulivu wa kisasa limekuwa ajenda ya kujadiliwa, na baadhi ya viongozi wameonyesha wazi kukasirishwa na linaloonekana kuwa wimbi jipya la mapinduzi. Katika kipindi cha...
  17. Kwanini wananchi Afrika siku hizi wanafurahia mapinduzi ya kijeshi?

    Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
  18. Sudan: Idadi ya waandamanaji waliouawa tangu Jeshi kuchukua madaraka yafikia 71

    Waandamanaji wameweka vizuizi barabarani katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum wakati baadhi ya maduka na Ofisi yakifungwa kutokana na mgomo wa siku mbili uliochochewa na vifo vya waandamanaji. Mgomo umeitishwa baada ya watu saba kuuawa Januari 17, ikiwa ni siku iliyotajwa kuwa mbaya zaidi tangu...
  19. Kwa Nini kunakuwa na mapinduzi ya kijeshi nchi za Afrika

    Mambo yapokwenda kombo na wazee was kazi wanaamua that is to much uongozi wa kiraia hauna tija Kama ilivyotokea kule Guine na Sudan
  20. Sudan: Wanaopinga Mapinduzi ya Kijeshi waitisha maandamano ya nchi nzima

    Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia. Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…