mapinduzi ya kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Guinea: Wananchi wazuiwa kutoka nje wakati wa usiku

    Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres, Jumapili amelaani kile kinachotajwa kama mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea, na kuwasihi wanajeshi waliosema wamefanya mapinduzi hayo na kuchukua madaraka, kumuachilia huru rais Alpha Conde. Guterres ameandika kwenye twitter “ Mimi binafsi...
  2. H

    Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

    Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi === GUINEA: WANAJESHI WAMPINDUA RAIS Wanajeshi wamefunga mipaka ya Guinea na kufunga anga baada ya kufanya mapinduzi na kutangaza kutoitambua Katiba iliyorekebisha na Rais Alpha...
  3. beth

    Mali: Kanali Assimi Goita aapa kuwa Rais mpya wa Mpito

    Licha ya kitendo chake cha kufanya Mapinduzi ya Kijeshi mara mbili ndani ya miezi tisa kukosolewa, Kanali Assimi Goita amekula kiapo kuwa Rais wa Mpito wa #Mali akiahidi Uchaguzi Mkuu utafanyika Februari 2022 kama ilivyopangwa. Kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea, Ufaransa ambayo ni...
Back
Top Bottom