MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI.
Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger?
Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao.
Brice Oligui Nguema ni mjomba wa raisi aliyempindua ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kikosi cha kumlinda raisi huyo. Tofauti...
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
Jenerali Abdourahamane Tchiani ametoa ahadi hiyo baada ya kukutana na Wapatanishi kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) katika mji mkuu, Niamey.
Hata hivyo, ECOWAS kupitia kwa Kamishna wake ilikataa kukubaliana na muda wa miaka 3 na kueleza kuwa inabidi wahusika...
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali.
Kwa...
Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea.
Mazungumzo hayo yamefanyika wakati Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiendelea kutafuta njia za...
Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali.
Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika
Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona
Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.
Hapa bongo leo imetoka kauli tata.
Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.
Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa.
Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi.
Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria.
ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
Upinzani mkali uliotokea ndani ya maseneti ya Nigeria na miongoni mwa wananchi imetajwa ni sababu kuu zilizopelekea muda uliotolewa kama ukomo wa kurudishwa Rais Bazoum wa Niger madarakani kupita bila kutokea chochote.
Raisi Bola Tinubu ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa ECOWAS amelaumiwa kwa...
Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini?
Kumbe...
Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe.
Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani.
Sasa Rais aliyepinduliwa...
Mzuka wanajamvi!
Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi.
Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme...
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka mabaya
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
Ukiangalia watu wanaliofanya na kushangilia mapinduzi kule Burkina Faso, Mali na Niger ni vijana ambao sanduku la kura limeshindwa kuwapatia viongozi wanaowachagua. Chaguzi zetu zinafadhiliwa na wakoloni wetu wa zamani kwa manufaa yao.
Chaguzi zetu ni mwanya wa kupenyeza mamluki kwenye uongozi...
Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...