mapinduzi

  1. Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
  2. 98% ya Wazanzibar wanafahamu kuwa Karume ndio aliongoza mapinduzi

    Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita. Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo. Siku ya mapinduzi bwana Karume alikuwa upande wa bara hasahasa mitaa ya Magomeni. Huku katika kipindi hiki cha sherehe za mapinduzi...
  3. Waamuzi wa Mapinduzi Cup, wanaibeba Zanzibar

    Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣 Zanzibar wakapewa favour za kutosha...
  4. Je, michuano ya Mapinduzi kushirikisha timu za Taifa yameleta tija?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani kushirikisha timu za ligi kuu za bara na visiwani ambapo tumeshuhudia wachezaji kadhaa wamekula mashavu kuja...
  5. Wamakonde wa Kipumbwi na Mapinduzi ya Zanzibar 1964

    https://youtu.be/3u_DVV9tvNE?si=DrXHJjuwdgMWFqSl
  6. Wamakonde wa Kipumbwi na Mapinduzi ya Zanzibar 1964

    https://youtu.be/3u_DVV9tvNE?si=DrXHJjuwdgMWFqSl
  7. Pre GE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti. “Kuna kundi...
  8. Mapinduzi ya Michael Jackson kupitia album ya kihistoria ya "Thriller"

    Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
  9. BBC: Mapinduzi ya mafuta Tanzania yamekwama kutokana na ukosefu wa vituo vya mafuta

    Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
  10. Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

    Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM. Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu. Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
  11. K

    Wakunja ngumi wanaleta mapinduzi Tanzania polepole

    Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari...
  12. Mapinduzi Cup: Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema.

    Mashindano ya Mapinduzi Cup yamejikuta katika sitofahamu baada ya Burundi na Uganda Cranes kujiondoa ghafla, kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa mashindano. Hali hii inatoa somo muhimu sana: "Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema." Awali, Mapinduzi Cup ilitarajiwa kushirikisha...
  13. Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

    Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe Zawadi ya million 100 timu...
  14. "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  15. Hivi inawezekanaje mapinduzi kufanyika ndani ya Chama cha siasa ?

    Sijajua hili linawezekana vipi , Ofisi ya Msajili ina watambua watu fulani kama viongozi halali . Inawezekana vipi mtu mwingine kujitangaza kiongozi? Kwani haiwezekani kwa Ofisi ya msajili kuagiza hao watu wanataka fanya mapinduzi kinyume na taaratibu za chama husika kukamatwa Au na hili...
  16. Mapinduzi kama ni ya kumng'oa Mbowe na Machawa wake basi nayaunga mkono, naomba yawe

    Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono. Kipindi hiki zimekuja tena baada ya Mbowe kupata mpinzani kwenye kiti chake alichokifanya "Ni chake cha enzi" Yani Uenyekiti...
  17. Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

    Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni...
  18. B

    Pre GE2025 Mtego unaowakabili chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa 2025

    Hello! Natumai mu wazima! Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi. Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
  19. N

    NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  20. A

    Chama cha Mapinduzi (CCM ) na kushindwa kuhifadhi Historia kwa ufasaha

    Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania. Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…