mapinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Kutoka Mianzini - Mapinga km ni 10, kuna vituo 13 vya petrol station

    Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo. Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10...
  2. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Wazee wapewa kipaumbele uchaguzi wa serikali za mitaa Mapinga

    Mambo yaendelea kuripoti matukio mbalimbali yanayoendelea mtaani kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Katika Kata ya Mapinga, mmoja wa wapiga kura amesema, wazee wamepewa kipaumbele. Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  3. Mkalukungone mwamba

    KERO Bajaji za Bunju kwenda Mapinga hakuna nauli rasmi inapelekea usumbufu kwa abiria. LATRA ingilieni kati

    Leo naleta kilio ambacho ni kero chetu wananchi tunaoishi Mapinga na maeneo yote yanayopakana na barabara ya Bagamoyo. Kilio hiki kinahusu nauli za usafiri wa bajaji kwani madereva/wamiliki wa bajaji wamekuwa wakijipangia nauli zinazowapendeza wao kila kukicha kinyume na utaratibu. Mwaka jana...
  4. Pang Fung Mi

    Mgogoro na Giza la Umiliki wa Ekari 12 Mapinga Bagamoyo wengi wamerithi mgogoro bila kujua

    Shalom, Naomba kuutarifu uma na Serikali kwa ujumla kwamba mimi na wenzangu kadhaa miaka ya 2010, 2011 kulikuwa na taarifa za wazi juu ya mgogoro wa eneo hilo na ukiachana na wale ambao tayari walikuwa wamenunua wengine wote waliambiwa kuhusu eneo kuwa na mgogoro na kulikuwa na kesi...
  5. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi azuia mchakato wa kutaka kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga

    Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
  6. BigTall

    Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  7. mamsindo

    KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  8. A

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu, Mapinga karibu na Eplas

    NAUZA KIWANJA CHANGU 📍Site located at Amani Mapinga Near EPLAS RECREATION 🧵Umbali: 👉 5 km kutoka Bunju 👉1.8 km kutoka Bagamoyo Road 👉2 km kutoka Baharini.(PLOT NEAR BEACH) • Kiwanja kinagusa barabara kubwa ya mtaa • Kiwanja kina nyumba ndogo ndani yake yenye vyumba viwili na sebule • Pia...
  9. GENTAMYCINE

    Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba...
  10. bizzle for shizzle

    House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Shule

    Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia kuna ya chumba Kimoja Chenye choo nyumba inatazama BARABARA ya mtaa Ina Uwanja wa sqmt 850 Ina hati...
  11. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  12. GENTAMYCINE

    Hiyo Sherehe yenu wana JamiiForums mnayoiandaa ole wenu msinialike na msinitumie Chopper inifuate huku Mapinga 'Chango Hela' Bagamoyo

    Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC kupangwa bila ya Clatous Chama kitu ambacho hakiwezekani na kitawashangaza wengi. ANGALIZO Kabla...
  13. GENTAMYCINE

    Kwaherini Kawe (Dar es Salaam), Hodi Mapinga (Pwani)

    Wana Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani GENTAMYCINE nasema kwa Heshima, Unyenyekevu na Taadhima kubwa sana kwenu kuwa Hodi Hodi na Hodi tena kwa mara ya Tatu. Sasa tutakuwa pamoja kwa Shida na Raha kama ambavyo nilikuwa Kawe. Kwa Samaki wenu hawa Watamu wa hii Beach yenu nzuri ya Mchango wa Hela...
  14. GENTAMYCINE

    Naomba kujua yafuatayo kuhusu Eneo la Mapinga Kiaraka Mkoa wa Pwani ambako Soon nitakuwa Mkazi Mpya huko

    1. Lilipo Kanisa Katoliki 2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira 3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu 4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni 5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia 6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi 7. Eneo la Makaburi Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
  15. Jidu La Mabambasi

    Tanroads Pwani, huyu mhandisi hapaswi kuwa kazini. Mapinga haharibu barabara

    Si kawaida kuwasagia kunguni wahandisi wanzangu, lakini hii tunayoiona kwenye picha sijui niite uzembe, uhujumu aukukosa uelewa kabisa juu ya masuala ya barabara. Lakini kwa vyovyote kichofanyika pale Mapinga kuelekea kilima cha Kerege , ni uharibifu ambao unaiondoa barabara ya Dar-Bagamoyo...
  16. GENTAMYCINE

    Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

    Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana...
  17. Pang Fung Mi

    Alaaniwe aliebomoa nyumba za watu na kuiba vitu vyao huko Mapinga Bagamoyo

    Wasalaam, Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote. Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki...
  18. Riwa

    Natafuta Shamba Mapinga

    WanaJamii, Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima kirefu (borehole). Dr Riwa.
  19. sekhal

    House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga Bunju au Mapinga

    Habari zenu Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
  20. Kiokotee

    Mrejesho; Nyumba yangu ya Mapinga

    Niwashukuru wote mliochangia Uzi Ule kwa Serious na Hata wale mliobeza! Nyumba yangu nimeshauza na sasa natarajia kuanza mwaka mpya wa Bajeti kwa malengo mapya, Kama waajiriwa wengine Nilichojifunza hapa JF kuna watu muhimu sana katika Nchi hii Amini nawaambia, Pia kuna watoto humu We Wazee...
Back
Top Bottom