Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta, jiko, bafu, seble kubwa kwa ajili ya kulia na kupumzika, pia ina uwanja mkubwa kwa mbele. Masiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.