Niwashukuru wote mliochangia Uzi Ule kwa Serious na Hata wale mliobeza!
Nyumba yangu nimeshauza na sasa natarajia kuanza mwaka mpya wa Bajeti kwa malengo mapya, Kama waajiriwa wengine
Nilichojifunza hapa JF kuna watu muhimu sana katika Nchi hii Amini nawaambia, Pia kuna watoto humu We Wazee...