Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali.
Tuchukulie mifano hii:
Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
Habari wazee wa masotojo,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake.
Basi akachukua maembe na pensheni freshi, akatia ka hiliki vizuri na sukari safi, sasa kwenye kuongeza madikodiko si akaweka na...
Wakuu,
Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko😂😂. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko.
Vipi wewe, siku ya kwanza...
Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki.
Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilipika pilau na leo napika white sauce inayosindikiza pilau au chakula kingine chochote kinachohitaji mchuzi.
Kama kawaida ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe”...
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza.
Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia.
naombeni maelekezo tafadhali
Hi guys,
Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..!
Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa una madonge kama vichwa vya ndege, nilivyo 'phaller special' eti nikautia kwenye chupa na kujikausha...
Pata jiko Janja uokoe gharama ya matumizi kwa hadi asilimia 80%.
-Tumia kuni moja tu kupikia.
-Tumia sodasti na mkaa.
-Halitobi Sufuria.
-Linatumia kigae kinachotunza joto kwa zaidi ya saa 4+.
Ukitumia hili jiko utasahau jiko la gesi, mafuta ya taa, sodasti au jiko la kuni la kawaida.
Kikundi...
Kwa kweli Mungu ni mwema sana na Namshukuru kwa siku hii ya leo. Imekuwa na changamoto nyingi sana hii siku ya leo ila najua nimezishinda na usiku umeingia hapa ni kwenda kulala tu hakuna purukushani za ziada.
Kwanza kabisa wife kasafiri kaenda kwa wazazi wake, leo nimejikuta niko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.