Nimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji
Mo amepost habari hii akaandika caption hii "Injustice 😥"
Sasa kwenye comments Watanzania wanamtupia...