Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Nimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji
Mo amepost habari hii akaandika caption hii "Injustice 😥"
Sasa kwenye comments Watanzania wanamtupia maneno Mo kuwa "wewe ni mnafiki, unapost ya Palestine kwani injustice ya hapa nchini kwako huioni?"
Ingawa Mo hana kosa, ila watu wameonesha kuchukizwa na jinsi watu wenye influence kubwa wanavyokaa kimya juu ya injustice inayoendelea hapa Tanzania
Utekaji, kesi ya Lissu, waumini wa Gwajima nk
Post yenyewe ni hii hapa. Inabidi uwe na VPN ili uweze kufungua X.
Unaweza kusoma comments za Watanzania ukiscroll kwenye hiyo post
View: https://x.com/moodewji/status/1957234434673098760?t=tcAQB8hN_Ie3zG2kjy2gIQ&s=19