Post ya Mo Dewji mtandao wa X imepokelewa vibaya na Watanzania

Post ya Mo Dewji mtandao wa X imepokelewa vibaya na Watanzania

Huyu Mo ndio ilisemwa kwamba alikataa kutoa hela kipindi cha Magu hivyo akatekwa akapotea kwa muda mpaka wenyewe watekaji walipoamua kumuachilia hatujui kipi hasa alifanya au kufanyiwa, wakati huo sie wengine tulikuwa tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.

Ni kama ambavyo sasa hivi Lissu anapitia hayo anayo pitia ila sisi wengine tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.
 
Nimeona mrisho Mpoto anahojiwa sehemu na Wasafi TV aisee jamaa Bure kabisa, Oscar anamuambia kuwa nyie saivi jamii inawachukia Kwasababu Mmeanua Kukaa kimya na yanayoendelea Nchini, Alivyojibu ni aibu kabisa
 
CHADEMA mnahubiri demokrasia ambayo nyie wenyewe hamuifuati. Mnataka watu wote waseme mnachotaka nyie kusikia. Huo ndo uhuru wa maoni mnaouhubiri? Ni upumbavu wa hali ya juu kutaka hadi Mo Dewji aongelee kesi ya mropokaji Lissu iliyoko mahakamani.
Mkuu sio kila anayekosoa ni Chadema. Halafu mbona umeongelea la Lisu peke yake haujasemahayo ya kutekwa na mauaji?

Zamani wazalendo waliipenda nchi kuliko chochote. Siku hizi uzalendo ni kuwa chawa wa watu fulani
 
Nimeona mrisho Mpoto anahojiwa sehemu na Wasafi TV aisee jamaa Bure kabisa, Oscar anamuambia kuwa nyie saivi jamii inawachukia Kwasababu Mmeanua Kukaa kimya na yanayoendelea Nchini, Alivyojibu ni aibu kabisa
Hata mimi nimeiona inasikitisha sana.
Mrisho Mpoto nilikuwa namuheshimu kumbe naye ni kenge tu

 
Back
Top Bottom