Huenda SGR inafanyishwa kazi kupitiliza uwezo wake kwa sasa ndio maana inapata majanga ya kukwama mara kwa mara, sasa TRC wajaribu kuipa mapumziko ya siku 3 kwa wiki.
Yani ifanye kazi Jumamosi na Jumapili, ipumzishwe Jumatatu, ifanye kazi Jumanne, ipumzike Jumatano, ifanye kazi Alhamisi...