mapumziko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  2. JanguKamaJangu

    Harry Maguire apewa mapumziko maalum Man United

    Beki huyo wa kati amepewa ruhusa hiyo na kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha anakaa sawa kiakili na kurejesha kiwango chake. Masharti ya Ten Hag kwa mchezaji majeruhi ni lazima awe na timu muda wote lakini Maguire ambaye anasumbuliwa na maumivu ya paja...
  3. PAZIA 3

    Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

    Ni ushauri tu. Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
  4. and 300

    Mfalme Charles III karibu mapumziko Serengeti

    Kwanza pole kwa msiba pia nikupongeze kwa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza Taifa. Kufuatia msiba wa Malkia. Langu Ni makaribisho nchini kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti baada ya shughuli za kuzika/msiba kwisha. *Mfalme Charles III Ni Mkuu wa nchi zifuatazo; 1. Australia, 2. Canada, 3. New...
  5. Lanlady

    WanaJF waliohesabiwa na wale ambao hawajahesabiwa, mapumziko ya leo yamewasaidiaje?

    Kwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa! https://www.jamiiforums.com/threads/ikiwa-tarehe-23-august-ni-mapumziko-je-karani-atazifikia-kaya-zote-kwa-siku-hiyo.2011912/post-43501017
  6. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
  7. Lanlady

    Ikiwa tarehe 23 August ni mapumziko, je karani atazifikia kaya zote kwa siku hiyo?

    Kwa mtazamo wangu nadhani maamuzi mengine yanahitaji fikra yakinifu na si msukumo wa wadau. Ikiwa wametangaza siku ya sensa kuwa siku ya mapumziko, na kwa nijuavyo si rahisi karani kuzifikia kaya zote kwa siku moja. Labda kama mapumziko hayo yangekuwa ya wiki nzima. Ama sivyo, watumishi...
  8. Sildenafil Citrate

    Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kufanikisha zoezi la sensa linalotarajiwa kuanza siku hiyo kwa kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi. Hivi karibuni Kamisaa...
  9. nditolo

    Umuhimu wa mapumziko siku ya Sensa

    Nimefikiri mara mbilimbili kuhusu sensa ya watu na makazi. Nimegundua Ili kupata takwimu sahihi kabisa Kuna umuhimu wa kuruhusu siku hiyo iwe ya mapumziko. Itasaidia kupata takwimu sahihi lakini pia wahusika wakubwa wa hizo familia watakiwepo nyumbani na hivyo kutoa taarifa sahihi. Hayo ni...
Back
Top Bottom