mapumziko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

    Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa! Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote...
  2. Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  3. Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

    Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo. Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
  4. Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

    Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
  5. Video: CHADEMA yatangaza mapumziko ya #255KatibaMpya, yawapa baraka Wanafunzi wa darasa la nne

    Video: CHADEMA yasimamisha oparesheni #255KatibaMpya kupisha mitihani ya darasa la nne
  6. L

    Ustawi wa soko katika siku za mapumziko wathibitisha ufufukaji wa Uchumi wa China

    Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
  7. Ijumaa iwe mapumziko

    Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
  8. Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
  9. R

    Hongera Rais kwa kuamua kujipa likizo ya muda kuruhusu nafsi yako itafakari kuhusu kesho ya Tanzania; tunategemea mema baada ya mapumziko mafupi

    Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta wawekezaji wa bandari. Ili kujipa muda maalum wakitafakari naamini ameamua kukaa sehemu ambayo atafanya...
  10. TEC na Jumuiya ya Kikristu daini mapumziko siku ya mwaka mpya wa Kikristu

    Upande mmoja wa Tanzania sasa ni rasmi mwaka mpya wa Dini fulani itakuwa ni siku ya mapumziko. Sasa basi, kama imeweza kuwa hivyo ndani ya Tanzania, kwa nini TEC na Jumuiya ya Kikristu wasidai mapumziko nao siku ya mwaka mpya wa Kikristu?! Kanisa la Roma kwa mfano, linao mwaka mpya wa Kanisa...
  11. Ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa na kupewa siku yetu ya mapumziko?

    Naandika kwa masikitiko makuu juu ya ubaguzi huu wa wazi wazi. Wafanyakazi tulipumzika mei mosi, leo ni sikukuu ya wachuuzi tunapumzika, tarehe 8 August tutapumzika kwaajili ya wakulima, ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa? Hili jambo liingie kwenye Katiba mpya.
  12. Mwanasheria Mkuu, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi: Tarehe anayozikwa Rais aliyefia madarakani kuwa mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
  13. Kifo ndiyo mapumziko

    Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu! Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia. Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja...
  14. L

    Safari milioni 274! Mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanaonyesha kuimarika kwa uchumi wa China

    "Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni. Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
  15. Rais Mteule wa Nigeria yupo Paris kwa Mapumziko

    VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023. === Nigeria’s president-elect left the country...
  16. T

    Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

    Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli. Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa...
  17. Nataraji kwenda nje ya nchi kwa mapumziko kidogo, nimechagua kwenda London

    Mimi nafanya kazi wizara x kama head of department ya kitengo fulani kwahiyo kutokana na achievement yangu ambayo nimeipata kama hapa karibuni kuna wizarani ambayo inasisifiwa sana basi ujue ni mimi huyo aisee kwahiyo nimeambiwa nichague kati ya London au New York niende wapi? Ila mimi akili...
  18. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

    Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la...
  19. Tupongezane na kutakiana heri kwa mwaka ujao wa 2023

    Tumetoka mbali tangu Januari mpaka sasa ni Desemba. Tupongezane na kutakiana heri kwa mwaka ujao wa 2023.
  20. M

    Utamu wa kuishinda Argentina, Saudi Arabia yaitangaza kesho kuwa siku ya mapumziko kuwapa nafasi wananchi kusherehekea ushindi!

    Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia! Sipati picha kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…