Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo...