PreGE2025 Mtia nia Urais aondoka CHADEMA, amtuhumu Lissu kwa kumshambulia Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.

IMG_4785.jpeg

Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.

Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Nipashe
 
View attachment 3328216

Nenda pumbavu.
 
View attachment 3328217

Takataka kama hii haina hata hadhi ya kuanzishiwa uzi humu.
 
Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.

View attachment 3328216
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.

Nipashe
Muda huwa ni mwalimu wa kweli, ona haya majoka yalikuwa yamejibanza chadema huku yanakula ccm😂😂😂

Ashukuriwe Lissu kwa kuchoma matairi majoka yamekimbia kichaka😂😂
 
Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.

View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.

Nipashe
Nadhani huyu ajikite ktk kuwasaidia ndugu zake wa RUVUMA wapate ELIMU ili wafumbuke macho waone jinsi malori yanavyo hamisha utajiri wao kwa kasi huku wao wakiishia KUGALAGALA chini eti wanashukuru licha ya kuibiwa.
 
Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.

View attachment 3328217

Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.

Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Nipashe
Mjinga aende zake
 
Makapi yanazidi kujichekecha
Takataka zote ziondoke ili chadema ibaki chama safi kwa raia wazalendo wa nchi kujiunga.
 
Back
Top Bottom