Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
kweli hiki ni kipindi cha kupiga helaAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe