Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
Rais Samia kujenga madarasa mapya manne ( 4 ) katika kila ilipo shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Watoto wote 1M wa kidato cha kwanza nchi nzima kuanza shule Siku moja ambayo ni tarehe 06|01|2021
====================================
Tanzania inajumla ya shule za sekondari 5,143 hii...
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.
Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.
Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
Toka mradi hui wa mabasi ya mwendo kasi, hivi sasa ni zaidi ya miaka 4 na hatujaona mabasi mengine mapya yakiingizwa Barabarani.
Takribani miaka 2 iliyopita tulisikia "tetesi" kuwa DART walikuwa wameagiza magari mapya, lakini yalikuwa yamezuiliwa bandarini kutokana na kudaiwa kodi!
Kwa kweli...
U hali gani, Mwana JamiiForums
Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema,
Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio.
Je, Na wewe umepokea...
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita
Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19
Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha.
Inasikitisha kuona kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.