Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili coil, o² sensor , control box ,cylinder head, plug, pump bila mafanikio ila ikiwa na miss ukifungua...
Ndugu zangu nakuja kwenu kupata ufahamu kwa walionao, nina ndugu yangu binti wa miaka 28 amekuwa anasumbuliwa sana na tonses za mara kwa mara. Najaribu kuangalia mwenendo wake na hali hii ya kuwa na tonses za mara kwa mara napata shaka huenda akawa na complications. Nimejaribu kila njia...
Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi.
Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile...
Salaam kwenu wote
Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
Habari zenu wakubwa?
Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in private and public sectors ili mimi na wenzangu tuweze kujifunza jambo.
Asanteni
Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi.
Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.