Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi.
Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika...