Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohudhuria ni...
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
Mwezi haujaisha ila mmh!!Nimepiga mzigo mmoja hatari sana.
siko sure saana na hizi kitu!!….
Maana wiki sasa leo naona kama nawashwa washwa
Wenye uzoefu wa hizi dawa za prophylaxis wanitie moyo!😎
Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji kikubwa katika mambo ya filamu. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sikuwahi kujiuliza, hakufanikiwa kumaliza...
Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"
Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana
https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c
Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien .
1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza...
Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza.
Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu...
Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...
Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe
1. Kigoma hakuna foleni barabarani.
2. Hakukuwa na dalalada za mjini kama huku Bali Kuna vibajaji.
Basi nikapanda kibajaji , njiani...
Wakuu,
Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana.
Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
Leo nimemkumbuka anko wangu aliyefariki kabla sijqanza hata vidudu lqkini nilikiwa najitambua.
Uncle akiwa darasa la tano, alikuwa amejijengea chumba chake cha kulala hapo nyumbani. Alikuwa na marafiki hadi wazungu alipokuwa form 1. Alikuwa anafuga kuku, bata na na anapiga pesa huku shuleni...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo.
Pia...
LATEST UPDATES:
Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel
By Gianluca Pacchiani Follow
Today, 4:00 pm
In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
-Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca.
Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera...
Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu...
Rapa na Mfanyabiashara Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kuwasilishwa mbele ya jaji Arun Subramanian katika mahakama ya Manhattan, Alhamisi hii majira ya mchana, akitokea gereza la Brooklyn. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Combs kukutana na jaji katika kesi inayomhusisha biashara ya ngono...
Israel na Russia walikuwa maadui tangu zamani sana ,uadui wao ulijulikana sana miaka ya 1947 kipindi cha Cold War mpaka miaka ya 2000.
Miaka ya 2000 mpaka sasa Israel na Russia wakaanza kuwa Marafiki hiyo ni kutokana na sababu kuu 3 :-
1. Kuingia katika uongozi wa Russia Pro-Israel Vladimir...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.