Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo mengi ya kiroho ambayo yanahusu 90% ya maisha yangu hadi pale niliposhawishika kununua .
e-book...
Dkt.Marcus Alban Mkurugenzi wa Kusoma African Limited akitoa ushuhuda na uzoefu jinsi alivyopatiwa huduma na Shirika la Viwango (TBS) katika sherehe za kutoa leseni za kutumia alama ya ubora kwa wafanyabiashara hivi karibuni.
Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema.
Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia.
Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi.
Twende kwenye mada.
Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu.
Mwananchi analalamika.
Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%.
Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi?
Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika?
Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni.
Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,,
MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
Ikiwa ni mara yangu ya kwanza kufika katika Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur, hasa mji wa Urumqi ambao nimekuwa nikisifiwa na marafiki zangu wengi ambao tayari walishawahi kuja kwenye mkoa huu, nilishangazwa na kuvutiwa sana kuona hali ya maendeleo na kushuhudia alama zinazoonekana waziwazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.