Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea ubunge. Nikajitosa katika mchakato wa ndani ya chama, kuomba ridhaa ya wanachama nipeperushe bendera ya...