Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya kutumia mti huo na jinsi ya kuupata mti huo tunaomba msaada.🙏🙏🙏
Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa.
Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
Nikiwa muathirika wa ugonjwa huu tangu mwaka 2016, licha ya kuwa na ugonjwa wa kisukari kwa kuwa nafuata maelekezo na masharti yote ya kiafya kutoka kwa wataalamu, basi waweza usiamini Kamba mimi ni muhanga wa gonjwa hilo, lakini vyoyote itakavyokuwa mimi siwezi epuka kusema eti sina ugonjwa...
Wakati wimbi kali la pili la maambukizi ya Covid-19 linaloua watu likiikumba India, madaktari sasa wanaripoti ongezeko la haraka la visa vya maambukizi ya nadra ya kuvu -ambao pia huitwa "black fungus" - miongoni mwa wagonjwa waliopona Covid-19.
Mucormycosis ni nini?
Mucormycosis ni maambukizi...
Na Mwandishi Maalum
Lakini, mtaalamu bingwa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi, ana kidokezo kuhusiana na matumizi ya nadharia hiyo kiholela kwamba yanaweza kumrudisha mhusika katika maradhi zaidi.
Profesa Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.