Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.
Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi...