marais

Marais or Groupe Marais, founded in 1962 in France, is a manufacturer of trenchers. The head office and workshop buildings have been located in Durtal since 2001. Marais society via its founder, Jacques Marais is in 1962 behind the trenching wheel and the mechanized laying of cables or flexible pipes process.
At present, MARAIS line includes mainly wheel trenchers, chain trenchers, and micro trenchers.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Rais Samia: Wangapi wanataka kuwa Marais

    Naangalia Movie ya Royal Tour, kuna kipande Rais anauliza wanafunzi 'Wangapi wanataka kuwa marais' wanafunzi wamenyoosha mikono wengi. Nikawaza swali kama hili wakaulize kwenye Chama halafu kina Etwege na wenzake wanyooshe mikono kama hali itakuwa salama
  2. kyagata

    Marais wa wenzetu wanachokifanya wakiwa nje ya nchi na watu wanaokutana nao

    Inapendeza sana for sure
  3. J

    Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

    kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano...
  4. GENTAMYCINE

    Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

    Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana. Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi. Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana. Leo...
  6. GENTAMYCINE

    Je, na Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani nao hujaliwa kwa 'First Class Treatment' kama waliobakia Tanzania Bara?

    Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani? Na...
  7. REJESHO HURU

    Kutunza historia kwanini siku za vifo vya Marais wetu zisiwe holiday?

    Nyerere kafariki miaka zaidi ya 20 iliyopita ila kutokana na Nyerere day kuwa ni siku ya mapumziko Leo hii mwanafunzi wa darasa la tatu anajua Nyerere alikuwa nani, hii ni kutokana na Nyerere day tu kuwa siku ya mapumziko Kwanini isiwe hivyo kwa Mkapa, ikawa hivyo kwa Magufuli lengo kutunza...
  8. M

    Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
  9. B

    CCM inahusika na deni la Trilioni 70+ au lawama zinabaki kwa Marais tu?

    Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania lakini akiongoza Kwa ukopaji kuliko Marais wore waliokaa miaka kumi na Mwalimu zaidi miaka kumi. Wana...
  10. M

    Natamani na Misafara ya Marais wetu nayo iwe ni midogo kama niliyomwona nayo leo CDF Gen. Mabeyo akielekea Kwake Kawe Beach

    Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa. Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
  11. MK254

    Marais Samia na Kenyatta watia saini mikataba saba mpya ya kuendelea kushirikiana

    Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...
  12. B

    Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  13. ESCORT 1

    Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

    Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia. Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine? Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
  14. Replica

    Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

    Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
  15. T

    Tathmini yangu fupi ya utendaji wa Marais wetu; Inaonesha Mkapa alikuwa Rais wa daraja la juu sana

    Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius. Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
  16. NUMAN

    Rais Samia amewezaje kufanya haya yaliyowashinda Marais wote?

    Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah! Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa wenyewe bila vurugu zozote. Mama Samia amewezaje ilihali watangulizi wake wote walishindwa na...
  17. F

    Kwanini Marais wa Jamhuri ya Muungano ndio wanaanzisha Taasisi?

    Wakuu, Najiuliza ni kwanini Marais wa Zanzibar wote waliopita kwenye safu ya urais hakuna hata mmoja ambaye ameanzishiwa taasisi yake kama zilivyo taasisi za Marais wa JMT mfano Nyerere Foundation, Mkapa Foundation na Kikwete Foundation, huenda tunatazamia Magufuli Foundation pia.
  18. bernard10

    Nani kati ya Marais wa Tanzania angeibuka kidedea/mshindi kwa vigezo hivi?

    Tanzania ni moja Kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeshafanikiwa kuwa na awamu tofauti tofauti za uongozi wa ngazi ya juu kabisa(URAISI) na ni miongoni mwa nchi chache kabisa ambazo hazijawahi kuwa na matukio makubwa yaumwagaji damu, vita vya wenyewe kwa wenyew na mapinduzi ya kijeshi...
  19. F

    Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

    Tuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo kwa Wanafizikia watatu kwa mpigo. Swali: Katika safu ya marais 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. U

    Kumbukizi: Waliowahi kuwa Marais wa Zanzibar Katika Picha ya pamoja

    Hayati Abeid Aman Karume & Aman Abeid Karume
Back
Top Bottom