Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg...
Ghana imethibitisha visa viwili vya Virusi vya #Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio katika familia moja na Virusi vinavyosababisha #Ebola huku wagonjwa wote wawili wakiripotiwa kufariki Kusini mwa Ashanti.
Maafisa wa Afya nchini humo wamesema Sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa wagonjwa hao...
WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio familia moja na virusi vya Ebola, baada ya majibu ya vipimo vya awali kutoka kwa wagonjwa wawili...
Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia.
Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.