marco rubio

  1. Mathanzua

    Waziri wa Mambo ya Nje Marekani Marco Rubio adokeza Marekani kuacha kufadhili umoja wa kijeshi wa NATO

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema hana wasiwasi kuhusu hatma ya NATO, akisisitiza kuwa muungano huo haupo hatarini. Akizungumza katika mahojiano na Fox News, alisema nchi za Ulaya ni matajiri na zinapaswa kuwekeza zaidi katika usalama wao badala ya kutegemea Marekani. Aliongeza kuwa...
  2. K

    Kagame kumpigia Marco Rubio kuhusu mgogoro ni udhaifu

    Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
Back
Top Bottom