marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Rais Samia: Marehemu Magufuli alinifundisha mambo mengi na dhamira yake niliielewa vizuri. Dhamira ni ileile

    Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita. ======= Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
  2. B

    Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Habari za ndani kabisa zinasema: 1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa 2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kinachofanya Marehemu asimwe ni Unafiki wa watu ndani ya jamii!

    Kwema Wakuu! Taikon nikifa msinionee haya, nisemeni Kwa mazuri niliyofanya, alafu nitukaneni na nipeni vidonge vyangu Kwa mabaya niliyoyatenda. Taikon Hapendi watu wanafiki wanafiki! Wachungaji na masheikhe endapo mtapewa jukumu la kutoa ibada ya mazishi yangu, ikiwa mnajua mazuri yangu...
  4. MIMI BABA YENU

    Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

    Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki. Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
  5. Kifaru86

    Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  6. Mchochezi

    Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  7. JanguKamaJangu

    Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

    VITA ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God - Mlima wa Moto, Marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi huku ikizidi kuwagawa watoto wake. Taarifa za kuwepo kwa vita hii zimekuja ikiwa ni miezi kadhaa baada ya mtoto mkubwa wa kiume wa Marehemu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Siasa-muziki bado pengo la marehemu Komba halijazibwa sio CCM wenyewe wala sio CHADEMA

    Wakuu Kwema. Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM. MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi. Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
  9. sky soldier

    Pale mtu wa karibu anapofariki tunaumia, kwanini pia tusifurahi endapo maisha ya marehemu yalikuwa na mateso makali sana na kifo kikaweka tamati?

    Kiukweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo. Tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana...
  10. Hivi punde

    Korogwe: Mamlaka ondoeni barabarani masalia ya mwili wa marehemu aliyegongwa na lori la mchanga

    Tarehe 23/1/2022 majira ya saa 1 usiku kuna kijana wa bodaboda aligongwa na Isuzu Tipper barabara kuu ya Moshi Dsm eneo la Mwembeni na kufariki papo hapo. Marehemu alijeruhiwa kichwani na kumwaga ubongo wote barabarani. Mpaka leo 26/1/2022 bado kuna masalia mengi ya ubongo na nywele za...
  11. S

    Chini ya Hayati Magufuli, wengi waliufyata. Tusiwalaumu

    Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi. Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara? Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate...
  12. Komeo Lachuma

    Baraza la Mawaziri limepangwa na Kikwete! Tunashukuru kuwaondoa wote waliowekwa na Marehemu

    Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
  13. Basi Nenda

    Marehemu Njonjo wa Kenya alikuwa mtata sana

    Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
  14. K

    Jeshi la Polisi, yupo wapi dereva aliyegonga gari lililobeba mwili wa Injinia wa TCRA?

    Wandugu juzi kati palitokea ajali pale Bunju iliyohusisha basi lilikua linatokea tegeta kwenda kanda ya kaskazini ambapo lilipofoka Boko lilitanua na kusababisha ajali ya msafara wa msiba wa aliyekuwa injinia wa TCRA Nd CHACHA ambaye mwili wake ulikuwa unapelekwa uwanja ndege ili kumpeleka...
  15. masopakyindi

    Inasikitisha sana, gari lililobeba mwili wa marehemu Joel Chacha lapata ajali

    Engineer wa TCRA aliyefariki majuzi msafara wa maziko umepata ajali. Inasikitisha sana.
  16. sky soldier

    Taratibu za misiba, ni nguo zipi anavalishwa marehemu

    Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari. Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
  17. JF Member

    Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndiyo yale yaliyosemwa na Marehemu?

    Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo. 1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani? 2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
  18. Faana

    Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

    Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo? Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa...
  19. B

    Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

    Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
Back
Top Bottom