Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa.
Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba.
Jioni hii nimefanikiwa kumpima MWENUEWE, nimehakikisha amekojolea kwenye kisado akiwa mbele yangu, nikampima na majibu yakaja...