Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo wakafurahia na kunishauri nichukue mwingine wa Tsh 5m. Nikafikiria na baada ya mwezi nikachukua mkopo...
Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari.
Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
Mwezi uliopita Askofu Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yake ambaye ni CEO wa Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Moses Machali ametoa muda wa miezi mitatu na nusu kuanzia Agosti 17 hadi Desemba 02 mwaka huu, vikundi vyote vilivyokopeshwa fedha na Manispaa ya Bukoba na kushindwa kurejesha viwe viwemerejesha fedha hizo, na kwamba baada ya hapo utafanyika msako mk...
Kumekuwa na taratibu za taasisi zinazotoa mikopo kuwapa wakopaji control number ya kufanyia marejesho.
Kutokana na makato yalivyopandishwa ni vyena sasa mkatoa akaunti zetu ili mkopaji akalipie bank moja kwa moja ili kumpunguzia gharama na mzigo mzito wa makato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.