Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine!
Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine.
Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi.
Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita...
Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi.
Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu gani?
Je kwanini Maridhiano na 4R zime mshinda Raisi Samia? Kati ya sababu hizi
1. Raisi Samia alikuwa hana nia alitumia muda kujiweka sawa
2.Raisi Samia alizidiwa na makada vigogo ambao hawataki mabadiliko
3. Raisi Samia muda ulivyokuwa unaenda akaanza kupenda uchawa na kuwa dikteta. Mama kanogewa...
ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI
Maazimio ya Halmashauri Kuu
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama).
Kikao hicho kilipokea...
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.
Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro.
Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
Kwa nyakati kadhaa viongozi wa serikali na CCM wamekuwa wakisema nchi Iko shwari, watu wako huru wanafanya siasa zao bila shida. Yani kiufupi hakuna tatizo lolote.
Lakini watu hao hao utasikia 4Rs, mara upinzani walikataa maridhiano. Na hivi karibuni Mzee Wasira amesema wao wako tayari kwa...
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Beda Nyaki amehitaji kupata muda wa masaa mawili kuweza kutafakari kama ataendelea na kusoma uamuzi aliotakiwa kuusoma tarehe 23 Januari 2025 juu ya shauri la Dkt. Wilbroad Slaa au lah.
Hakimu Nyaki ameomba kupata muda huo wa kutafakari...
Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k
Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
Wakati wa John Pombe Magufuli, Freema Mbowe aliomba marithiano kule Mwanza. JPM akakausha.. Baada ya Mama Samia kuingia Madarakani alikuja na 4R na akaanzishisha maridhiano na Chadema.
Leo Wasira kasema kuwa ataendeleza maridhiano stakeholders wote siyo na mtu akitaja taasisi za kidini. NGOs...
Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii.
Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa!
Pia soma: Lissu: Habari ya...
Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages
https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia,
Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti,
Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana.
Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama...
Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli"
Tundu Lisu
, Makamu Mwenyekiti Bara wa...
Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika kitabu hicho. Wakati umma ukiwa na taarifa pengine za kuweza kuaminini kwa kiasi kikubwa, inashangaza na...
Kwa ushahidi wa mahojiano ya viongozi waandamizi wa Chadema Taifa hususani Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Taifa, ni wazi hekima na busara inahitajika ili kuinusuru Chadema kwenye kupasuka na kwakweli kusambaratika kabisa kwasababu za ubinafsi uliokithiri baina ya viongozi hao, uchu na tamaa ya...
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.
Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.