Licha ya Lissu kuomba radhi kwa kile kinachoonekana ni kukubali maridhiano na serikali ya Raisi Samia, ukweli ni kwamba, Lissu amekubali akiwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA uliofika hayo makubaliano ya kile kinachoitwa 4R.
Lissu alithibitisha kutokuwa muumini wa 4R katika mahojiano na...
Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka!
Na kuna swali “Je kutolewa mbowe Gerezani wakati ushindi wa Kesi ulikuwa unaelekea kuwa kwa upande wake waka m time...
Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki.
Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
Mimi nimetafakari sana kuhusu falsafa gani inaongoza Chadema hivi nikisema Chadema ina makundi na mikakati minne ya kimtazamo nitakosea. makundi hayo ni kundi la akina Lissu na Heche wanaoamini katika nguvu ya uanaharakati kuiondoa CCM madarakani,kundi la kina Mbowe,Mrema na Mnyika nk...
Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao vya muziki na dansi tangu utoto wao. Wakiwa na ndoto kubwa kuliko anga, Peter na Paul walichochewa na...
1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi.
2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa.
3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi.
Kwa wale ambao bundle sio...
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki...
Mnara wa Babeli?
Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji.
Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano...
CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika Rais Samia ni kiongozi bora...
Wanabodi
Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024
Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!,
Ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa
kama kweli...
Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano.
Madeleka ameeleza kuwa ana...
Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa nchi na amani. Mapendekezo yao, hasa kuhusu masuala kama tume ya uchaguzi, katiba mpya, na maendeleo...
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.
CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.
CHADEMA wameona mgogoro...
Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking
Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
Kwako mheshimiwa Mbowe,
Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro.
Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya...
Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili kupatikana kwa katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025, mapendekezo ambayo yalikataliwa yote kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.