Kwa nyakati kadhaa viongozi wa serikali na CCM wamekuwa wakisema nchi Iko shwari, watu wako huru wanafanya siasa zao bila shida. Yani kiufupi hakuna tatizo lolote.
Lakini watu hao hao utasikia 4Rs, mara upinzani walikataa maridhiano. Na hivi karibuni Mzee Wasira amesema wao wako tayari kwa...