Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania.
Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe.
Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii.
Au...
Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, na fursa zinazoweza kubadilisha maisha ya Watanzania...
Kama umeniroga awee
Siambiwi kwawee
Overdose me
Your love dey overdose me
Paa pee pii papapuu
Your love dey overdose me
paa pee pii papapuu
Overdose
Joanah usiuchoshee huu moyo
Joanah upoze huu moyo
Joa Joanah usiuchoshe huu moyo
Joanah upozee huu moyoo
Natania bhana :)
Enjoy goma hilo
Special...
Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake.
Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika.
Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio.
Tafuteni pesa vijana
Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua
Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
Asalaaam wanajamvini.
Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii.
Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote alizotoa ni hit, na ni kweli sipingani na Hilo, hata Maromboso pia nyimbo zake alizotoa official zote ni...
Wakuu ushauskiliza huu wimbo wa marioo uitwao 2025.
Ukiuskiliza huo wimbo ni ameongea mapnzi tu. Akisisitiza kuwa atadumu na mpnz wake Hadi 2030+
Sasa huu wimbo ukiuskiliza kwa upande wa kisiasa utaona unafaa sana kwny kampeni za uchaguz wa 2025.
Mlio karibu na marioo mwambieni kabisa...
Saga la Marioo na Chino Kid linaendelea kuchukua sura mpya, huku Marioo akielezea hisia zake kuhusu uhusiano wao wa zamani.
Marioo ametaka mashabiki kumuuliza Chino ni wapi alikosea, akisisitiza kuwa alimuonyesha upendo na kumuunga mkono kila wakati.
Marioo anasema amekalia kimya matatizo...
Nimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana.
Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni mwingine.
Video ya Marioo Hakuna Matata imetrend No 1 kwa muda mfupi sana YouTube mpaka pale video...
Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania.
Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli.
Wanaweza hata kukupa kazi ya kufua nguo za ndani, unakuta kajaza kitenga cha nguo hadi zaidi ya 40...
Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne
Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao
1. Diamond
2. Harmonize
3. Alikiba
4. Darasa
Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu.
Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya...
2024 naona ime Anza kwa Kasi, nao marioo na harmonize Waka amua kutoa nyimbo mpya.
👉 Hi ni collabo yao ya pili, Baada ya ile naogopa.
Nyimbo hii Ina kwenda kwa jina la away, aisee ni Nyimbo Kali mno.
👉Naona harmonize kampoteza marioo kwa Mara nyingine,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.