marioo

  1. Mjanja M1

    HARMONIZE vs MARIOO

    Kwa kawaida tushazoea kuwa kwa masilahi mapana na usalama wa Verse yako usijaribu kumtanguliza "Marioo" katika ngoma. Pia wewe kama msanii usikubali kabisa "Harmonize" akikutanguliza katika ngoma ni lazima yawe mauajii humo ndani. Mjadala ulianzia katika "Naogopa" maneno yalikuwa mengi sana na...
  2. Mjanja M1

    Marioo kuwa makini na Harmonize

    Kufuatia picha waliyopost wasanii Harmonize na Marioo kuhusu ujio wa ngoma yao mpya, ningependa kumpa tahadhari Marioo kuwa Harmonize ni mtu mbad sana kwenye ngoma za kushirikiana na huwa hana huruma hata kidogo. Kama unabishana namimi jaribu kupitia wimbo wa "NAOGOPA" walioimba pamoja...
  3. BARD AI

    Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  4. Paul1234

    Hanstone is way better than Marioo

    To be honest Hanstone is waaay better than Marioo
  5. sinza pazuri

    Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

    Wote tunamjua Marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata. Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan. Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake. Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta...
  6. BARD AI

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  7. Hance Mtanashati

    Aisee video ya demu wangu Remix ya Meja na Marioo ni moto wa kuotea mbali

    Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama. Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mchumba anataka nini ,mchumba anataka helaaaa " Natabiria...
  8. BARD AI

    Albam ya Marioo "The Kid You Know" yapata Streams Milioni 100 Boomplay

    Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni 30. Ni rekodi nyingine ya Wasanii wa Tanzania kuvunjwa kwa Afrika Mashariki baada ya Rayvanny...
  9. Brother Wako

    I Miss: Alikiba anavyomsaidia Marioo Kulamba matapishi yake

    “The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I Miss. I Miss ni wimbo namba 10 alioshirikishwa King Kiba, Alikiba na Marioo wameutendea haki mdundo...
  10. Brother Wako

    Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  11. Crocodiletooth

    Kuna marioo kaumbuka mchana huu

    Astaghafitulah.. Manka kwanini umefanya hivi mkeku.
  12. I

    Marioo (TotoBad) amekuwa msanii lulu bongo kwa sasa

    Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule kijana sasa hivi ni kana kwamba yupo ndani ya beat anaflow nalo kama mawimbi kwny bahari ,anafanya...
  13. Dong Jin

    Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

    Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
  14. bahati93

    Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi

    Gift and curse. Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana pale anapopanda jukwaani watu wanaimba mashairi yake mwanzo mwisho. Sasa hatari nayoona kwa msanii...
  15. Its Pancho

    Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

    Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule. Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza.. Kwa...
  16. sinza pazuri

    Asante Marioo kwa kumnyoosha Konde Boy kwenye TMA

    Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde. Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi. Tunawaambia tena achaneni na kiki za insta hizo hata hamorapa na Amba rutty wanazungumziwa. Marioo kamnyoosha sana sasa hakuna...
  17. Kichwamoto

    Hivi Marioo anafahamu ukubwa wa ushawishi na nguvu yake kimuziki hasa Amapiano?

    Habari Wana JF. Ukiacha kwamba huyo dogo kajipambanua na Utopolo kwenye remix ya Utopolo Tamu. Dogo anajua sana na ni mfalme wa amapiano hapa TZ, chagizo langu kwa huyu dogo nwenye kunipa raha na vibes shibishi nafsi, hivi anafahamu hazina yake kwa hii niche ya muziki wa amapiano? Na anajua...
  18. Frumence M Kyauke

    Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

    Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake. Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo...
  19. Jerlamarel

    Marioo, Mfalme wa Amapiano Bongo, Ndiye Msanii Bora kwa Sasa, Hajawahi Kutoa Wimbo Mbaya

    Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali. Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa: 1. Dar Kugumu 2. Yale 3. Manyaku 4...
  20. Nchi Kavu

    Salamu kwa Marioo

    Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli. Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie rendition na aje na "Ndoa tamu". Nakuhakikishia mdogo wangu utakamata hadi ushangae. Ila jambo moja...
Back
Top Bottom