Nimeona Marioo anapewa sifa Sana kias cha kufananishwa na Konde Boy pamoja na Alli Kiba na wengine kwenda mbali zaidi kudai kijana anaweza kuwakalisha vibaya mno hao nguli wa mziki.
Binafsi mimi sijamuelewa kivile kiasi cha kumfananisha na Konde Boy au Alli Kiba, sioni Hit Songs za Mariooo za...