maroli

  1. mirindimo

    Traffic police morogoro road tunaomba maroli yaruhusiwe usiku

    SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
  2. Offshore Seamen

    Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  3. E

    Zaidi ya 80% ya maroli yanayorudi Dar hurudi tupu

    Ni mekuwa najiuliza hii misururu mirefu ya maroli yanayorudi Dar ikiwa tupu na mingine kubebana miwili, hivi hatuna bidhaa za kupeleka bandarini? hatuna marobota ya pamba katani kahawa mahindi alizeti mashudu? ni kweli hatuna bidhaa za kuuza nje ya nchi? sie tumekuwa soko la bidhaa za nje tu...
  4. Suzy Elias

    Tatizo la ubovu wa kijiko cha bandari ya Tanga lakwamisha makumi ya malori ya kubeba shehena ya clinker

    Hii nchi ina vituko sana! Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss. Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
  5. Undava King

    Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

    Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea. Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na...
Back
Top Bottom